MWANAMKE ANASWA AKIJIUZA HUKU AKIWA NA MTOTO MCHANGA
Katika
pitapita yangu leo, nimekutana na picha hizi kwenye mitandao mbalimbali
ya jamii.Mwanamke amekamatwa Akijiuza Usiku Huku akiwa na mtoto wake
mdogo Tukio hili lilitokea katika kamakamta ya machangu mitaa ya
buguruni Dar es salaam,