Diamond Platnumz Atoa Machungu Kwa Serekali Kushindwa Kutambua Mchango wao
Diamond aonesha machungu aliyonayo kwa serikali kwa kushindwa kutambua mchango wao na kudai wanatumiwa wakati wa kampeni za viongozi lakini baada ya kufanikiwa na walichukuwa wakikitaka wanawasahau wasanii..
hiki ndicho alichokiandika kupitia instagram
"Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye Uchaguzi wao, bila kujali Thamani na Mchango wetu kwao..