LULU MICHAEL :WANAOSEMA NIMEZEEKA IMEKULA KWAO....LEO NDO KWANZA NIMEFIKISHA MIAKA 18"



Leo  Elizabeth Michael  ametimiza  miaka  18.....Anadai  kuwa  wanaodai  kuwa  amezeeka  imekula  kwao  maana  ndo  kwanza  anauanza  utu  uzima