Paul Okoye wa P-Square apata mtoto wa kiume...!!
Familia
ya The Okoyes inazidi kukua. Ikiwa ni miezi mitatu tu tangu Peter Okoye
na mchumba wake Lola wapate mtoto wa pili, pacha wake Paul naye
amejaaliwa mtoto wa kwanza wa kiume.
Kupitia Instagram, Peter ameshare picha ya pacha wake Paul akiwa
amebeba kichanga hicho na kuandika: Big congrats to my better half
@rudeboypsquare … Welcome to the world ANDRE.
Congrats Paul.