HIZI NDO SKENDO 7 ZA LULU MICHAEL ANAYEHUSISHWA NA KIFO CHA STEVEN KANUMBA

Elizabeth Michaeli   au  LULU ni msichana wa miaka 18 ambaye anahusishwa  kwa namna moja au nyingine na  kifo cha Msanii mwenzie,Steven kanumba.

Kutokana  na maombi mbali mbali ya wasomaji wetu  toka nje na ndani ya Tanzania,leo tumeamua tuwaletee simulizi fupi la maisha yake   toka mwaka jana mpaka leo.

  Pamoja na umri wake kuwa mdogo,binti huyu amekuwa na tamaduni za MITEGO  hali inayowafanya wanaume   WASIMCHOKE.

 
Akiwa  na miaka 17 tu binti huyo alinukuliwa akisema  "KWA SASA MIMI SIYO WATOTO SHOO TENA,MIMI NI WAKUBWA SHOO".Wapekuzi tulifanya tafiti yetu ili kuona mtoto huyu anamaanisha nini?   ....na hizi ni picha zake za enzi zileeeeeeee!!!

 mitego ya lulu





Tarehe 26/8/2011  ,Elizabeth Michael,alikurupuka a kuudanganya umma kuwa TANGU AZALIWE AMEWAHI FANYA MAPENZI NA WANAUME WAWILI TU.

Habari hiyo ilizua utata kidogo hasa kwa WADAU ambao walikuwa na uhakika kabisa kuwa manzi huyo wamewahi mmliki.

Washika dau hao hawakusita kupiga simu na kutoboa donda ndugu ambalo lulu alitaka kulificha.Habari za kuaminika zilidai kuwa,Binti huyu maarufu wa kibongo na mcheza "MOVIE" alikuwa na orodha isiyopungua wanaume KUMI mpaka tarehe hiyo. 

Idadi hiyo ya kusisimua ilijumuisha WANAMZIKI 4 WA BONGO FLEVA, MASTAA 5 WA MOVIE ZA KIBONGO NA VIGOGO 2
ILI KUPATA UNDANI WA HABARI HIYO,BOFYA HAPA   <<LULU ATEMBEA NA WANAUME 10>> 
 
Tarehe 7/4/2012,Lulu alihusishwa na kifo cha Steven Kanumba
    Kuhusishwa kwake kunatokana na kile kinachoelezwa kuwa, siyo hiyo Lulu alikuwa nyumbani kwa msanii huyo.Kanumba alitoka na kwenda bafuni kuoga.Akiwa huko alimsikia Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu.Kanumba alitoka na kuhoji kulikoni......ndipo mzozo ukaanzia hapo .Ndipo umauti mlipo mfika kanumba