COLLABO YA AY NA SEAN KINGSTONE YAKAMILIKA

Ile ya collabo ya AY na Sean Kingston iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu hatimaye imekamilika.

Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia Twitter na promoter wa kimataifa Hemdee Kiwanuka ambaye kampuni yake ya networkshowbizz husimamia kazi za AY.

Msanii wa nchini Uingereza Ms Triniti ambaye alishawahi kufanya collabo na AY, ataonekana kwenye video ya ngoma ingawa hajashirikishwa kama inavyoonekana kwenye tweets hizi: