Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka nje ya viwanja vya Bunge la Tanzania jana mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati
akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano
unaoendelea.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dodoma
Mbunge
wa Jimbo la Ubungo John Mnyika akiteta na Mbunge wa jimbo la Wawi
Hamad Rashid Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John
Cheyo mara baada ya kuondolewa Bungeni jana mjini Dodoma baada ya
kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia
Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea.
Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoka katika ukumbi wa Bunge la Tanzania jana mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea. |