MTOTO MWINGINE ATUPWA JIJINI MBEYA

mtoto atupwa jijini mbeya

Mwili wa mtoto mchanga ukiwa umetupwa eneo la Msikiti wa Soweto jijini Mbeya jana asubuhi.
Baadhi ya wananchi wa eneo la Soweto waliofika kushuhudia tukio hilo.
Mwanausalama akiondoa mwili wa kichanga hicho eneo la tukio.
Akiupakia mwili huo katika gari la polisi.
Gari la polisi likiondoka eneo la tukio na mwili wa kichanga hicho.
VITENDO vya kutupwa watoto wachanga vimezidi kushamiri ambapo leo asubuhi mwili wa kichanga kingine chenye jinsia ya kiume umeokotwa jirani na Msikiti wa Soweto jijini Mbeya. Mama wa mtoto huyo bado hajafahamika mpaka sasa.