Simba wakiingia uwanjani kupasha misuli.
Yanga nao wakiingia uwanjani kwa maandalizi ya mechi.
Yanga wakijichua kwa ajili ya mtanange na watani wao wa jadi Simba.
Mechi
ya watani wa jadi inakaribia kuanza muda huu. Timu zote mbili
zimejiandaa vyema na kila moja imeahidi kuwashushia kichapo wenzao
katika mtanange huu.
Wachezaji wa Yanga na Simba (Wabunge) wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya mechi kuanza.
Mtanange baina ya wabunge hao ukiendelea.
Zitto Kabwe akitoa pasi.
(PICHA NA IMELDA MTEMA/GPL)