Mr and Mrs Mziray
Jana ilikuwa ni siku mpya kwa former video vixen/model, Cynthia
Masasi aliyefunga ndoa na Richard Mziray. Baada ya kubadilisha status na
kuwa Mrs Mziray, mrembo huyo ana ujumbe huu mfupi:
“Aaaaaaaaaaw im the luckiest woman in the whole world! Thank u all
for the lovely msgs I AM NOW MARRIED to my Best Friend, The man of my
dream! Thank GOD for everything! So i have to make this CLEAR. Cynthia
Masasi-Mziray is SAFE & SOUND! I have not been in jail for one sec
LEO, Sasa napigiwa simu back2back kwamba kuna watu wanasema wameniweka
ndani na wanafuraha sana! To clear things up ni kwamba niko home na nina
bbq na wakwe walikuwa wananikabidhi jiko “Kimila za Kipare” So jela
sijapelekwa na dada yeyote naona wameona wajipe promo kidogo!
Harusi
yangu IMEWACHANGANYAA huo ndio ukweli! So thanks to yall for ur calls
msgs and ur concerned abt my safety! NIKO POA BALAA NA MUME NIMPENDAE
MPAKA KUFAAA! LOVE YALL MY TRUE PPL..”
Kitu cha chopper kikiwasubiri maharusi
Congrats Cynthia