KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE NDIO KUKOJE? 
"Mimi
 ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa 
kungonoka na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa??ebu nijue shosti coz
 huwa napata mtihani mkubwa sana sijui kama nishawahi "kukojoa" au la!
Kuna
 siku nyingine huwa napata raha up to the maximum yaani hadi nalia 
machozi kabisa sasa sijui huwa huko ndio "nakojoa" kwenyewe au ni 
mautamu tu?
Please i need the tips za kuniwezesha kutambua "kukojoa"thanx