EPIQ BONGO STAR SEARCH YATIMBA LINDI

 
 Majaji wa EBSS - Master J, Madam Rita na Salama J wakipozi kwa camera wakati wa kufanyika kwa auditions za kutafuta superstar atakayewakilisha Lindi kwenye Epiq Bongo Star Search 2012.

 Master J akiwa makini kumsikiliza mshiriki wa auditions za EBBS Lindi.
 
 Anajaribu bahati yake - mshiriki akicharaza gitaa
Wananchi wa mkoa wa Lindi walijitokeza wengi kuja kushiriki katika EBSS 2012.