T AMASHA LA CHAGGA DAY 2012 LAFANYIKA JANA LEADERS CLUB

 Mkazi wa jiji la Dar es Salaam akimiminiwa Mbege katika "kata" maalum la kunywea pombe hiyo ya asili ya Wachaga kutoka mkoani Kilimanjaro wakati wa tamasha maalum la CHAGGA DAY lililofanyika katika viwanja vya Lidaz jijini Dar es Salaam.
 Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika   viwanjavya Leaders jijini Dar es salaam jana,
Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day jana
 vimwana wa bendi ya twanga wakionyesha umahiri wao wakiongozwa Luiza Mbutu wakati wa chagga day.
 Nyama choma ilikuwa yakutosha
 
masta wa tamasha la chagga day (katikati) Mkurugenzi wa Kampuni ya MyWayEntertainment, Paul  Maganga pamoja na wadau wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja.
wadau wakifurahia utamu wa mbege.
wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu,ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio navingine vingi