WABUNGE WA SIMBA WAWAKUNG'UTA WABUNGE WA YANGA MABAO 3-2 TAIFA LEO


 
Mbunge William Ngeleja akiingia dimbani kwenye mchezo wa leo uliofanyika kwenye dimba la taifa
Benchi la wabunge wa Yanga.


...Kikosi cha Simba.
...Kikosi cha Yanga.



Wachezaji wa Yanga na Simba (Wabunge) wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya mechi kuanza.
Mtanange baina ya wabunge hao ukiendelea.…


Wachezaji wa Yanga na Simba (Wabunge) wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya mechi kuanza.
Mtanange baina ya wabunge hao ukiendelea.
Zitto Kabwe akitoa pasi.
PICHA ZOTE KWA NIABA YA GLOBAL PUBLISHER