MANCHESYER CITY VS CHELSEA; HATIMAYE MANCHESTER CITY WAMECHUKUA NGAO YA HISANI KWA USHINDI WA MANCHESTER CITY 3-2 CHELSEA!

Out of the blocks: Samir Nasri is mobbed after scoring Man City's third goal
RAHA YA MECHI USHINDI: Samir Nasri akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la tatu
Put your shirt on it: Carlos Tevez paid tribute to his home in Argentina

Put your shirt on it: Carlos Tevez paid tribute to his home in Argentina

UJUMBE KIFUANI: Carlos Tevez akionyesha ujumbe wa maandishi kwenye fulana yake ya ndani ya jezi
French fancy: Nasri celebrates scoring City's third
BAO LA TATU: Nasri akishangilia bao la tatu alilofunga
Three and easy: Tevez lashes home City's third
BAO LA PILI KIULAINI: Tevez akifunga la pili
Seeing red: Ivanovic is sent off by Kevin Friend
KADI NYEKUNDU: Ivanovic akitolewa nje na refaKevin Friend
Opener: Torres lifts the ball over Pantilimon
BAO LA KWANZA: Torres akimtungua Pantilimon
High hopes: Torres hurdles a challenge from Kompany
Torres na Kompany
Eyes on the ball: John Terry (left) challenges Samir Nasri
MABINGWA wa England, Manchester City jioni hii wametumia vizuri mwanya wa kadi nyekundu aliyopewa Branislav Ivanovic kwa kutwaa Ngao ya Jamii, wakitoka nyuma kwa bao 1-0 na kuifunga Chelsea mabao 3-2.
Fernando Torres alifunga bao la kuongoza dakika ya 40 na dakika ya 42, Chelsea wakabaki 10 baada ya Ivanovic kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Aleksandar Kolarov.
Mabao ya kipindi cha pili dakika ya 53 lililofungwa na Yaya Toure, Carlos Tevez dakika ya 59 na Samir Nasri dakika ya 65 yalitosha kuwapa Man City Ngao na kuuanza msimu vema.
Ryan Bertrand aliifungia Chelsea bao la pili dakika ya 80.
 
PICHA KWA HISANI YA DAILYMAIL.CO.UK