WASANII: CHANZO CHA KUSHUKA KWA MAADILI TANZANIA

ROSE NDAUKA  NA MAYA
AMA kweli dunia imekwisha! Imebainika kuwa baadhi ya mastaa wa kike wa tasnia mbalimbali Bongo, wamejiingiza kwenye magenge ya kufanya vitendo vya ngono vya wenyewe kwa wenyewe (usagaji).Kwa mujibu wa uchunguzi wetu, baadhi ya mastaa hao wamekuwa malimbukeni kwa kufanya vitendo vilivyo nje ya maadili ya Kitanzania likiwemo hili la usagaji.

 Wengi huanza kwa kuigiza mavazi yasiyo na staha, kunywa pombe, kuvuta sigara na madawa ya kulevya kisha baadaye hufikia hatua ya kufanya vitendo hivyo.
chanzo mpekuzi blog