YANGA YAPELEKA KOMBE LA KAGAME BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Yanga ambao walipeleka Kombe la Michuoano Kagame Bungeni Augost 6, 2012. Kushoto kwake ni Mama Fatuma Karume mlezi wa timu hiyo ya Yanga. Yanga ilishinda kombe hilo hivi karibuni katika michuano ya Kombe la kagame iliyomalizika jijini Dar es Salaam.