
Nadhani  sote  tunakumbuka yale mashindano ya kusaka vipaji vipya vya Bongo Movies yaliyokuwa yafanyike chini ya Marehemu Kanumba  lakini bahati mbaya  mauti ikamkuta.
Baada ya kifo cha The Great, star wa filamu ya “Shoga Yangu” ambaye alikuwa partner in that idea is here to introduce to us the called “Bongo Movie Star Search“.
 
Baada ya kifo cha The Great, star wa filamu ya “Shoga Yangu” ambaye alikuwa partner in that idea is here to introduce to us the called “Bongo Movie Star Search“.
Kwa mujibu wa chanzo chetu ni kuwa Tino, ambaye  jina lake halisi  ni Hisan Muya
  amaemua kuandaa shindano hilo baada ya familia ya Kanumba kuzuia kumpa
  documents za movie idol ambayo yeye na marehemu walikubaliana 
kuifanya.
 
“Ni
 kweli nimeamua kuanzisha shindano langu la Bongo  Movie Star Search ili
 kusahka vipaji vipya kwenye sekta ya uigizaji  nchini ambayo ita-cover 
almost mikoa yote ya Tanzania“.
“Nilienda
 kwa mzazi wa Steven Kanumba nikamwonyesha  ushahidi wa kutosha kuwa 
mimi ninahusika kabisa kwenye mchakato ili  nipewe kibali cha 
ku-organise search ile but waliniona kama mwizi wa  idea, so kukwepa 
maneno nilishaenda kusajili shindano langu kwenye  vyombo husika na 
tayari kibali cha kuendelea ninacho mwezi ujao naanza  mchakato“, alifunguka Tino.
 Alipoulizwa kama ni copy and paste ya BSS ,Tino alikuwa na haya ya kusema, “Kwani kuna ubaya gani nikafanya kitu kinachofanana na BSS kwenye maisha kuna kutegemeana, so sikuona tabu kuch
 
