AIBU: HUU NDO UCHAFU UNAOFANYWA NA KIKUNDI CHA " KANGAMOKO"

Kanga moko ni kundi ambalo linatia aibu.....Washiriki wake hucheza  UCHI  ama  hubakiza  Kanga  moja  tu.........
Staili yao ya kucheza  inatia  aibu.Hucheza mfano wa watu wanaofanya  mapenzi.Mchezo huo hufanyika mbele  ya  kundi la watu wa rika mbali mbali  wakiwepo  watoto...... 
Angalia video hiyo chini