Katibu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) alipuliwa na bomu

Photo: Katibu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Arusha, Abdukarim Jonjo akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru akipata matibabu baada kujerehiwa na kitu kinachodhaniwa ni bomu juzi usiku na watu aliodai kuwa ni waumini wenzake. Picha na Filbert Rweyemamu
Katibu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Arusha, Abdukarim Jonjo akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru akipata matibabu baada kujerehiwa na kitu kinachodhaniwa ni bomu juzi usiku na watu aliodai kuwa ni waumini wenzake. Picha na Filbert Rweyemamu
chanzo: Mwananchi Communications Ltd