Mjasiriamali...!

Wafanyabiashara wa mbogamboga wakichapa usingizi katika soko jimpya la NMC jijini Arusha baada ya kukosa wateja,wafanyabiasha hao walifukuzwa katika soko la Arusha na kutakiwa kuhamia katika eneo hilo.                                 Picha na Jackson Odoyo,Arusha