WAKATI watanzania wakiwa wamechoka na matukio machafu yanayofanywa na
wasanii kwa kuacha nyeti zao nje, tukio lingine kama hilo limetokea tena
kwa msanii ambaye watu hawakutarajia Nakaaya Sumari ambaye naye ameamua kuziweka nyeti zake hadharani kwa kutovaa nguo ya ndani, kitu ambacho kimempa aibu nzito.Tukio hilo limetokea hivi karibu wakati msanii huyo akiwa kwenye
mahojiano na moja ya chombo cha habari, ambapo katika mkao ambao alikuwa
amekaa alikuwa hajajifunika hata kitambaa wakati akijua wazi kuwa
hajavaa nguo ya ndani ambayo kwa namna moja ama nyingine ingeweza
kuficha aibu hiyo nzito ya kuziweka wazi nyeti zake.
Tukio hilo limechukua sura mpya kwa wadau wa muziki wa kizazi kipya, kwani msanii huyo hakuwahi kufanya tukio la aibu kama hilo, ambalo limemchafua kwa kiasi kikubwa.
--------------------------------------------------------------
CHA KUSITIKITISHA HATA NGUO YA NDANI HAJAVAA....KILA KITU HADHARANI
--------------------------------------------------------------