MWIGIZAJI wa filamu katika tasnia ya filamu Diana Exavery
 anasema kuwa kazi yake ya filamu anavyoipenda anahitaji kuwa huru 
zaidi, kufuatia kupata uhuru huo inamradhimu kutokuwa na mahusiano na 
mwanaume yoyote kwani kwa kukubali kuwa chini ya mwanaume hatakuwa huru 
na kufanya kazi zake.
“Katika maisha yangu nahitaji sana kuwa huru na uhuru najua 
unapatikana pale mtu anapokuwa hana mahusiano na mwanaume, hilo ndilo 
naliona kwangu sahihi kwani ninapokuwa huru sipati mtu wa kunisumbua na 
kunizuia kazi zangu za sanaa kwa ujumla,”anasema Diana.
Msanii huyu alianza kung’ara katika filamu ya Mtunis iliyojulikana kwa jina la Best Wife, baadae alishiriki katika filamu ya Mrembo kikojozi, pia filamu ya Yatima asiyestahili, na hivi karibuni ameigiza katika filamu ya Binti Yangu kama