Mpinga Afunga Mafunzo Ya Bodaboda Dar


 Mgeni rasmi,Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani  Tanzania,SACP Mohamed Mpinga akikmkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa vyeti
 Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, L to R ACP Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa temeke,M/kiti Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic Kuu
Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Mama Nyalile  akiwaasa bodaboda, L to R kamanda Mpinga, M/kiti wa  wa bodi ya ushauri ya chuo Nd. Marealle, Mkuu wa chuo cha VETA Nd. Ng'andu