SAKATA LA WANAUME WATATU WALIOVULIWA NGUO NA KUPEWA KICHAPO KIKALI KWA MADAI YA KULAWITIANA


Hawa  ni  wanaume  watatu ambao  walipewa  kichapo  kikali  ikiwa  ni pamoja nauvuliwa nguo  hadharani siku  ya tarehe 14  mwezi huu  kwa  madai kwamba huwa  wanalawiti  watu

 Tukio hilo limetkeakatika jimbo la  Imo linaloongozwa na  bwana  Rochas nakuzua  mvutano mkali  baina  yake  na mashirika ya  haki  za binadamu