Kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet amewasili
mida hii Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere,
Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wapenzi wa klabu hiyo.
Tazama mapokezi yake tangu anatokea ndani ya Uwanja wa Ndege, hadi akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya Jangwani.