Showing posts with label sports. Show all posts
Showing posts with label sports. Show all posts

MECHI KATI YA BSc INFORMATION SYSTEMS NA BSc HEALTH INFORMATION SYSTEMS KATIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU DODOMA

KATIKATI NI STRIKER MOSE BENGER KABLA YA KUANZA MECHI



KIKOSI HCA BSc HEALTH INFORMATION SYSTEMS
  
Hilikuwa ni mechi ya kukata na shoka kati ya maasimu wakubwa wa mwaka wa tatu  wa Course ya Bsc Informations Systems (Bsc IS) na Bsc Health Information Systems(Bsc HIS) kutoka  College of Informatics and Virtual Educatication(CIVE).Mechi hiyo imechezwa jioni hii katika viwanja vya college ya Social Science, adi mwisho mechi hiyo imekwisha kwa kutoka dro ya kufungana doli moja moja
Vijana wa Bsc IS ndiyo walianza kupata Goli lililo fungwa na striker machachali MOSE MBENGA, na kipindi cha pili mshambuliaji machachali toka HIS MWINYI aliwasawazishia HIS adi mwisho akupatikana mbabe kati ya maasimu hao

DONDOO MUHIMU KUHUSU KIKAO CHA KUTAFUTA SULUHU KILICHOENDESHWA NA WAZIRI MKUU HUKO MTWARA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa na viongozi wa Asasi mbalimbali kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara Januari 27, 2013
------------------

PICHA NA MATUKIO WAHITIMU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Ndugu Mhoja Luchagula kushoto na Maganga Emanuneli wakiwa na furaha mara baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza katika mahafali yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha dodoma

Fadhili Mshamu kushoto akipongeza Mhoja Luchagula kwa kupata shahada ya kwanza katika chuo kikuu  cha DODOMA

Jerry Slaa Akabidhi Zawadi Michuano Ya Kukuza Vipaji Gongo La Mboto.


 Meya wa Ilala ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto Jerry Slaa akimkabidhi Jezi kwa mshindi wa tatu, Zacharia Jonas Naodha wa timu ya Ball Kipaji (kushoto) baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya kukuza vipaji yaliyojulikana kama "Diwani super Eight Cup" ya Kata ya Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam

Kaseja na Mashabiki wa Simba

Ndugu zangu wanamichezo wa nchi hii, ni ukweli usiofichika hii filamu ya mashabiki wa simba juu ya tuhuma za kipa wao aliyetumikia timu yao kwa  kipindi kirefu na kuwapa mafanikio mengi ikiwemo ubingwa ligi kuu ni filamu mbovu kuwahi kutokea katika nchi hii, 

Push Mobile Yamzawadia Mshindi Wa Serengeti Fiesta 2012 Magari Mawili


Mshindi wa magari mawili yaliyotolewa na kampumi ya Push Mobile kwa ajili ya tamasha la Serengeti Fiesta, Diana Elis  Mkoba akiwa ndani ya moja ya gari alilozawadiwa baada ya kushinda bahati nasibu hiyo.

"NAHITAJI KUWA HURU NA NDO MAANA SINA MUME WALA BOY FRIEND"- DIANA EXAVERY.

MWIGIZAJI wa filamu katika tasnia ya filamu Diana Exavery anasema kuwa kazi yake ya filamu anavyoipenda anahitaji kuwa huru zaidi, kufuatia kupata uhuru huo inamradhimu kutokuwa na mahusiano na mwanaume yoyote kwani kwa kukubali kuwa chini ya mwanaume hatakuwa huru na kufanya kazi zake.

Haruna Moshi Aomba Radhi Kwa Kumchezea Rafu Beki Wa Yanga

Na: Majuto Omary, MWANANCHI
 KIUNGO wa Simba, Haruna Moshi ameomba radhi kwa kumchezea rafu beki wa Yanga, Kelvin Yondani itakayomfanya akae nje ya uwanja kwa zaidi ya wiki mbili. Moshi alimkanyaga Yondani juu ya goti kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliozikutanisha Yanga na Simba Jumatano usiku na kumalizika kwa sare 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 

SHAKIRA, PIQUE WATEGEMEA MTOTO.

MWANAMUZIKI nyota kutoka Colombia, Shakira amesema kuwa anategemea kupata mtoto wa kwanza na mpenzi wake ambaye ni mcheza soka wa kimataifa wa Hispania, Gerard Pique.

WILSHERE KUREJEA UWANJANI KARIBUNI.

KIUNGO wa klabu ya Arsenal, Jack Wilshere anatarajiwa kuongeza nguvu katika kikosi cha Arsenal Wenger wakati atakapoanza rasmi mazoezi na klabu hiyo wiki hii. Wilshere mwenye umri wa miaka 20 amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu ambayo yamesababisha kuwa nje ya uwanja toka Agosti mwaka 2011 lakini kiungo huyo wa kimataifa wa Uingereza anatarajiwa kusahau yote hayo na kurejea uwanjani tena.

FABREGAS ASIFU UWEZO WA WENGER.

KIUNGO wa klabu ya Barcelona, Cesc Fabregas amedai kuwa Arsene Wenger ana kipaji cha kipekee katika kuendeleza wachezaji chipukizi na kusisitiza kuwa mfaransa huyo ataiongoza Arsenal kushinda taji msimu huu. Fabregas ambaye aliondoka Arsenal Agosti mwaka jana anaamini kuwa Wenger mwenye umri wa miaka 62 ana uwezo wa kuwapa ujasiri na kujiamini zaidi wachezaji chipukizi katika kikosi chake hicho.

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: VIWANJA NANE KUWAKA MOTO ULAYA LEO.

MENEJA wa klabu ya Manchester City, Roberto Mancini ametamba kuwa kikosi chake kimejiandaa vyema kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Klabu Bingwa ya Ulaya dhidi ya Real Madrid katika Uwanja wa Santiago Bernabeu baadae usiku.

WENGER KUANZIA JUKWAANI UFARANSA.

MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger anatarajiwa kukaa jukwaani na kumuangalia msadizi wake Steve Bold akichukua nafasi yake wakati klabu hiyo itapopambana na Montpellier katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baadae leo. Wenger hatakuwemo kwenye benchi la ufundi kutokana na kuanza adhabu yake ya kufungiwa michezo mitatu na Shirikisho la Soka barani Ulaya-UEFA hivyo majukumu inabidi amuechie msaidizi wake huyo.

HABARI ZA MASTAA WA BONGO;HARUNA MOSHI BOBAN: KUMBE MWANACHAMA MZURI WA VIROBA!

Mchezaji kiwango wa Timu ya Taifa na Simba afumwa akijidunga pombe kali inayohifadhiwa kwenye mifuko ya Nailon aina ya Konyagi maarufu kama VIROBA.

VAN PERSIE MAJERUHI.

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uholanzi na klabu ya Manchester United, Robin van Persie alitolewa nje katika kipindi cha mapumziko baada ya kupata majeruhi nyuma ya paja katika mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Dunia 2014 dhidi ya Hungary ambapo timu yake ilishinda mabao 4-1.

MURRAY ATAMANI MATAJI ZAIDI YA GRAND SLAM.

BINGWA wa michuano ya tenisi ya wazi ya Marekani maarufu kama US Open, Andy Murray amesema kuwa lengo lake kubwa ni kushinda mataji mengi zaidi ya Grand Slam na kuwa mchezaji namba moja katika orodha za ubora duniani.

ARSENAL YAMNYATIA DROGB

KLABU ya Arsenal ya Uingereza inapanga kumnyakuwa mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast Didier Drogba ambaye anacheza katika klabu ya Shanghai Shenhua ya China.