
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika viwanja vya
bustani ya Mnazi Mmoja tayari kutoa heshima kwa mashujaa


Baadhi ya skari wa zamani wa KAR wanaounda Tanzania Legion

Gadi ya Askari Magereza

Gadi ya JWTZ

Askari wa JWTZ wakiwakumbuka mashujaa kwa heshima ya dakika tatu huku mizinga ikipigwa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mkuki mnarani kama heshima kwa mashujaa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima kwa mashujaa baada ya kuweka mkuki na ngao

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiweka sime mnarani

Ni wakati wa wimbo wa Taifa mara tu baada ya kuwasili kwa Rai Kikwete

Baadhi ya waalikwa ikiwa ni pamoja na mabalozi wa nchi za nje

Kiongozi wa Mabalozi na Balozi wa DRC Nchini Mhe Khalfan Mpango akiweka shada la maua

Meya wa Jiji la Dar es salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi akiweka upinde na mshale

Mwenyekiti wa Wazee wa Dar es salaam Mzee Rashidi Bakari Ngonja akiweka shoka


Gadi ya FFU

Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salum akiomba dua


Monsinyori Deogratias Mbiku wa Kanisa Katoliki akisoma sala

Baadhi y mashujaa waliowahi kupigana vita

Wimbo wa Taifa baada ya shughuli kumalizika

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa kitaifa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya mashujaa

Salamu kwa Mashujaa

Mashujaa

Wanahabari wakirekodi shughuli nzima

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi ya mashujaa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na viongozi wa majeshi baada ya kutoa heshima kwa mashujaa

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange