MDOGO WAKE ISHA MASHAUZI NAYE AANZA KUTOA CHECHE

Binti mdogo Saida, ambae ni mdogo wake wa nne wa Isha Mashauzi, ameanza kuonyesha cheche katika uimbaji wake na kuleta tegemeo la kuweza kufikia upeo wa dada yake. Saida ni mmoja wa waimbaji katika kundi la Mashauzi Classic