Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa
Malawi Mhe.Joyce Banda mjini Maputo Msumbiji walipokutana leo asubuhi
kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati nchi hizo
uliopo kwenye ziwa Nyasa.Wakati wa mazungumzo hayo Marais hao wawili
wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia
kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo (picha na
Freddy Maro).
Rais
wa Malawi Mhe.Joyce Banda akisalimiana na Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete mapema leo asubuhi mjini Maputo Msumbiji,walipokutana
kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa mpaka kati nchi hizo
uliopo kwenye ziwa Nyasa.Wakati wa mazungumzo hayo Marais hao wawili
wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za kidiplomasia
kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro huo.
Marais wakizungumza kwa furaha kabisa.
Rais
Dkt.Jakaya Kikwete akifafanua jambo mbele ya Wanahabari mapema leo
asubuhi mjini Msumbiji,ambapo Rais Kikwete amekutana na Rais wa
Malawi Mhe.Joyce Banda kuzungumzia kutafuta suluhu katika mgogoro wa
mpaka kati nchi hizo uliopo kwenye ziwa Nyasa.Wakati wa mazungumzo hayo
Marais hao wawili wameelezea nia ya nchi zao kufikia suluhu kwa njia za
kidiplomasia kupititia kamati maalumu iliyoundwa kushughulikia mgogoro
huo.