MMESHINDWA KUNIIBIA...SASA NANUNUA PRADO MPYAAA!.........WEMA SEPETU

Pamoja na wajanja kuvamia nyumbani kwake kwa nia ya kumwibia vitu vyake vya thamani  juzi kati na baadaye kushindwa kutimiza adhma yao, Wema Sepetu is here once agin kuwa-prove wrong.  Diva huyu toka Bongo movies aitwaye  Wema Abraham Sepetu baada ya ku-launch movie yake ya superstar kwa kumdondosha Omotola toka Nollywood industry ya Nigeria at Kempinski na baadaye kufanya family party pale Girafe Hotel,  yuko  tayari kuvunja bank kwa ajili ya kuagiza mkoko mpya aina ya Toyota Prado.
 
Gari hiyo aina ya Prado itakayo gharimu kiasi cha hela ya Tanzania million sitini mpaka kufika hapa na mambo mengine yote kama usafirishaji na gharama za ushuru wote husika, hiyo itakuwa inakamilisha gari yake ya tatu baada ya ile Mark X Harrier.