CCM London Nao Warushiwa Kijembe


Yaani kweli hiki chama kinaoza.Yaani mbwembwe zote za chama tawala,chakula cha bure na miziki hawa ndo waliohudhuria mkutano wao.M4C Hamuiwezii.
Mdau