Je, Ni Manabii Wa Siku Za Mwisho?


Bwana huyu nilimkuta maeneo ya Wanging'ombe, Makambako hivi karibuni.
Anatembea kwa miguu kutoka Iringa kwenda Mbeya akitangaza injili.