mbunge
wa Mbeya Mjini(CHADEMA) Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr. II(wa pili
Kushoto)akiwa na Uongozi Mzima wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo Chadema DMV kwaajili ya mapokezi
mbunge
wa Hai, na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(kushoto)akiwa na
Mwenyekiti wa Wanawake CHADEMA Maryam Khamis wapili kulia na Katibu wa
wanawake Baybe Leila, wa kwanza kushoto wakiwa katika mapokezi ya
kumpokea mgeni rasm wa mkutano wa Jumamosi Mh. Freeman Mbowe.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe
akiwa na baadhi ya viongozi wa Tawi la Chadema DMV aliopowasili siku
ya Ijumaa Aug 31, 2012, kwenye uwanja wa kimataifa Dulles Airport,
kwaajili ya mkutano utakaofanyika Siku ya Jumamosi Spet 1,2012.
Mkutana huo utaaza rasmi mida ya saa 4:PM (Kumi za Jioni) Wageni
rasmi wamkutano huo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe Joseph Mbilinyi ADDR.
Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740
Baada
ya mapokezi Katibu wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Isdori Lyamuya
akiongea mpango mzima wa mkutano utakaofanyika Jumamosi Sept 1, 2012
kwenye ukumbi wa Marriott Hotel Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park.
MD 20740.Picha Zote na CHADEMA