K-LYINN AJIFINGUA MAPACHA


Aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Jackline Ntuyabaliwe aka K-Lynn amejifungua watoto mapacha.

Kwa mujibu wa vyanzo, K-Lyinn amejifungua mapacha wa kiume wenye afya njema.
 JICHOLETU BLOG inampongeza Jackline kwa kujifungua salama