Katibu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania
(Bakwata) Mkoa wa Arusha, Abdukarim Jonjo akiwa katika Hospitali ya Mkoa
wa Arusha ya Mount Meru akipata matibabu baada kujerehiwa na kitu
kinachodhaniwa ni bomu juzi usiku na watu aliodai kuwa ni waumini
wenzake. Picha na Filbert Rweyemamu
chanzo: Mwananchi Communications Ltd