
“Hivi karibuni wawili hao walionekana
chobingo, Mbeya kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta na hata Dar pale
Leaders Club, walikuwa "close" nyuma ya jukwaa katika gari la
Shilole,” alisema mpashaji wetu.

Mwanahabari wetu aliwatafuta hewani wote, lakini Shilole ndiye aliyepatikana, akafunguka:
“Kwani tatizo lipo wapi tukirudiana? Mbona hamuwashangai akina Chris Brown na Rihanna? Mapenzi ni upofu acheni hizo,” alisema Shilole.
