Je Mapenzi ya Jinsi Moja kwa Wanawake Siku Hizi ni Fashion?
Siku hizi mapenzi ya Jinsia moja kwa wanawake imekuwa wazi wazi kabisa
nikienda clubs ama hata sehemu za public Si Ajabu kuona Mwanamke ana
kisiana na mwenzake deep kisses imekuwa kama kawaida sasa je Hii ni
fashion siku hizi? Ama wanaume wameshindwa Kazi ya kuwaridhisha?
Wasemaje kuhusu Hilo?
chanzo Udaku Specially blog