MSANII wa Filamu nchini anaekuja kwa kasi ya ali ya juu John Maganga ameamua
kuanzisha kampuni yake kwa ajili ya kazi za sanaa akizungumza na mwandishi wetu
Dar Es salaam jana amesema amefungua Kampuni yake ijulikanayo kwa jina la Jom Entertainment Co.
Ltd
Kwa ajili ya kazi mbalimbamba za sanaa akizungumzia jinsi alivyojingiza
katika Tasnia hiyo Maganga anmease alianza kuona kipaji chake tangia mwaka 2001
alipokuwa akifundishwa na msanii nguli wa filamu nchini Ndumbago Misayo 'Thea'
ambaye alikuwa mwalimu wake wa maigizo wakati wapo kanisani pale
Mwananyamala
Ndipo baadae na mimi nikaja kujijua kuwa nina kipaji cha kuigiza nikanza
kucheza filamu ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Miracle of Love ambayo
ilifanya vizuri sana katika kumtambulisha kisanaa nchini
Mwaka 2008 nikashauliwa na ndugu yangu Deogratios Shija kuwa mimi nina kipaja
cha kushiliki filamu kubwa hapa nchini ndio mana sikusita kufungua Kampuni yangu
kwa ajili ya kuendeleza fani hii
Ambapo kwa sasa niko njiani kutoa filamu ya Beaut Fools aliyowashilikisha
wasanii kama Aunt Ezekier,Hji Salumu 'MBoto' na wengine wengi
Msanii huyo aliyeimwagia sifa kem kem Kampuni ya Steps Entatainment ya jijini
Dar es salaam kwa kufanya kazi vizuri na wasanii nchini