Lowassa Alipojumuika Na Timu Ya Wabunge Nyumbani Kwake Monduli
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa ( Pichani
juu wa pili kushoto) akijumuika pamoja na Baadhi ya Wabunge wanaounda
timu ya Bunge Sports inayoundwa na wabunge kutoka Baraza la Wawakilishi
na Bunge la Jamhuri,wakati wa Chakula cha Mchana alichowaandalia
Nyumbani kwake,Ngarashi Wilayani Monduli juzi.Wengine kwenye picha ya
kwanza juu kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na
Michezo,Mh. Amos Makalla,Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi Azzan
pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Monduli, Reuben ole Kunai. (
Picha: Othman Michuzi)