Muongozaji na muigizaji wa filamu nchini Tuesday Kihangala aka Mr
Chuzi anatarajia kuja na tamthilia mpya ya TV iliyopewa jina ‘High
Heels’.
Tamthilia hiyo itakuwa na waigizaji wengi wa Jumba la Dhahabu ambao
ni pamoja na Jini Kabula,Rayuu, Kojack,Bi Moza, Kilomani,Badi,Kishoka na
wote waliokuwepo kwenye Jumba la Dhahabu.Pia kutakuwepo na wasanii
wengi wachanga.
Akiongea kwa kujiamini, Rayuu ambaye ataigiza kwenye tamthilia hiyo amesema High Heels itakuwa zaidi ya Jumba la Dhahabu.
“Wajipange wauza sura, ni funiko babkubwa kwani kila mtu kapania kuonyesha uwezo wake,” amesema Rayuu.
Rayuu amesema tamthilia hiyo itaanza kuonekana nchini mwezi January mwakani pamoja na nje ya nchi.

Rayuu
“Humo
utakutana na utapeli, uchawi, ujambazi, mapenzi ,visasi nk. Sasa katiki
hii ndo utaelewa kwanini imeitwa viatu virefu na pia
kwa Tanzania itaanza kutoka kwenye DVD ndo itarushwa kwenye TV.”
Rayuu amesema tamthilia hiyo itaanza kuonekana nchini mwezi January mwakani pamoja na nje ya nchi.