"NAJUTA KUTEMBEA NA MUME WA MTU"....TIKO


MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan ‘Tiko’ amefunguka kuwa anajuta kutembea na mume wa mtu kwani majirani wanamuandama kwa maneno.
Akizungumza na suala  hilo  juzikati jijini Dar, Tiko alisema kutokana na kuandamwa na maneno juu ya tabia hiyo ya kutembea na mume wa mtu  ameamua kutafuta mwanaume ambaye yupo singo.

“! Najuta mwenzangu. Bora nitafute mwanaume ambaye yupo singo waache kunisemasema kila siku,” alisema Tiko.