Mwanamuziki
wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila 'RAY C' akimshukuru Rais
Kikwete kwa msaada wa matibabu aliompatia ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Ray C watu kushoto,Mama
yake mzazi Ray C Bibi Margareth Mtweve (kushoto) na kulia ni Sarah
Mtweve Dada yake Ray C.
---
Mwanamuziki
wa Kizazi Kipya Rehema Chalamila maarufu kama RAY C leo amemtembelea
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dare s Salaam na kumshukuru
kwa msaada wa matibabu wakati alipokuwa mgonjwa hivi karibuni.
Kwa apande wake ,Mama Mzazi wa Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa kuokoa maisha ya mwanaye na vilevile ametoa wito kwa watu wanaokusanya michango kwaajili ya mwanaye waache kufanya hivyo kwani matibabu ya Ray C yamegharamiwa na Rais