Dada wa kazi za nyumbani wa eneo la Tabata Barakuda aliyejiua jana saa moja usiku na bado chanzo hakijulikani
Machela ya kubebea mwili wa marehemui ilifika
Waliuingiza
mwili wa mdada huyu mwenzetu na kuondoka nae ambapo blog hii
itaendelea kuwajulia taarifa kuhusiana na kile kilichomsibu mdada huyu
Watu wakiuchungulia mwili wa marehemu
Umati wa watu ulikusanyika kujua nini chanzo
Hapa kazi yao ikiendelea ya kuhoji wahusika
Maaskari Polis wa kituo cha Rozana wakichukua maelezo