"NIMENUNUA GARI MPYA......MNAONICHUKIA KAZI KWENU"...WEMA SEPETU


Wema sepetu

Picha za Gari mpya  ya  Wema Sepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipokuwa beach hivi karibuni na kuiandikia caption, ‘my baby at da beach.’

gari wema

Kwenye akaunti ya meneja wake Martin Kadinda pia kuna picha nyingine ya gari hiyo aliyoiandikia maneno, ‘#maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… #Kiphating.’

gari wema 2

Gharama ya gari hiyo inaweza kuanzia shilingi milioni 70 na kuendelea.