Ikiwa
unafuatilia siasa za Tanzania, picha hii inalinganishwa na ile ya
aliyejiita askari wa JWTZ kupiga picha na baadhi viongozi wa CHADEMA na hatima yake ikawa ni kifungo jela.
Maafande wa doria wanaotumia pikipiki wakizungumza na baadhi ya wanachma wa CCM wa kata ya Mji Mpya. Wanachama hao walivamia ofisi kuu ya kata na kuwatimua ofisini viongozi wao na baadae kufungua milango wakiwashutumu kwa mambo mbali mbali ikiwemo la ufisadi.
Picha na: dustanshekidele.blogspot.com