HII NDO SEHEMU YA KWANZA YA TAMTHILIA YA "SIRI YA MTUNGI".....KAZI KWAKO MDAU


"Siri ya Mtungi" ni tamthilia ya televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha mwenye bashasha na mmiliki wa Studio ya Kupiga Picha ya Mtungi. Ana mke mrembo, Cheusi, aliyemzalia watoto wawili wenye afya na huku akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu. 


HII NI  SEHEMU  YA KWANZA