"SIKUHUDHURIA MAZISHI YA SAJUKI KWA SABABU NILIKUWA BIZE STUDIO NIKIREKODI WIMBO WANGU"….WEMA SEPETU


Msanii anayefanya sanaa ya Uwigizaji hapa Nchini maarufu kwa jina la Wema Isaack Sepetu inasadikika kuwa hakuonekena kwenya Mazishi ya marehemu Juma Issa Kilowoko au maarufu kama Sajuki yaliyo

fanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam siku ya tarehe 4 Januari mwaka huu.   WEMA  SEPETU  AKIWA  NA  MENEJA  WAKE... Tukio  hilo  lilizua minong'ono kutoka kwa