Chris Brown: Sitochukia kama Rihanna akinicheat na mwanamke
CHRIS Brown anakubali kuwa hatojali kama Rihanna asipokuwa mwaminifu kwake lakini ni kama tu akifanya yake na mwanamke mwenzie.
Rihanna kwa sasa yupo kwenye ziara yake ya dunia Diamonds ambayo
itamalizika October. Na Chris anakubali kuwa Rihanna anaweza akapitiwa
akamsaliti japo hatoumia kama akimcheat na mwanamke.
“If it was a girl it would be cool. I ain’t with that if it was another
guy,” alisema Chris baada ya kuulizwa atajiskiaje akisalitiwa na
Rihanna.