Wadau, Gazeti Moja hapa Tz limetoa story kuhusu biashara ya umalaya
mjini Dar es Salaam. Lakini umalaya ni tatizo nchi nzima. Mchana na
mnajua lunch ndefu (saa 6-saa 8) gesti zote zimejaa! Bukoba gesti zote
wanaweka maplastiki kwenye godoro shauri ya katerero. UKIMWI/AIDS na
magonjwa mengine yanazidi kuwa tatizo sugu kwa nchi yetu. Lakini hii
tatizo la umalaya haikuanza leo, upo miaka mingi sana. Sijui joto ndo
inafanya watu wawe na ny*ge sana. Doh!
Mbaya zaidi ni ukweli kwamba wanaume wengi ukiongea nao kuhusu hii biashara huwa wanaikandia sana na kusema ni tabia mbaya lakini karibu ya hao wote huwa wanaitumia hii huduma (ya madada poa) several times a month. Tatizo hasa ni nini? Kwa nini madada poa wanaongezeka na wanunuzi wa huduma yao wanaongezeka Tanzania?